Yanga wako vizuri sana - Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2020
Yanga wako vizuri sana - Zahera

Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ameeleza kukikubali kikosi cha timu hiyo cha msimu huu

Mkurugenzi huyo wa ufundi klabu ya Gwambina Fc, amesema Yanga ya msimu huu imekamilika kila idara kuanza safu yake ya ulinzi, kiungo na ushambuliaji

Mcongomani huyo amesema wachezaji wa Yanga ni wapambanaji muda wote wanacheza wakiwa na malengo ya kupata ushindi

Aidha Zahera amewapa Yanga nafasi ya kufanya vizuri zaidi msimu huu kuliko watani zao Simba kutokana na aina ya vikosi walivyonavyo

"Yanga wana timu nzuri sana. Msimu huu wana kitu zaidi ya wapinzani wao Simba. Wamekamilika kuanzia kwenye ulinzi, kiungo na safu ya ushambuliaji. Ni timu inayoonekana kutafuta kitu kila inapokuwa uwanjani"

"Simba wanacheza mpira wa pasi lakini hawaonekani kuwa na kitu cha ziada. Aina ya mpira ambao wanacheza Simba hawawezi kucheza wakikutana na timu kama TP Mazembe. Yanga wanaonekana kuimarika kimbinu zaidi," alisema Zahera

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’