Kikosi cha Yanga kesho Jumatano kinatarajiwa kucheza na KMKM mchezo wa kirafiki ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Jumamosi
Ni kesho pale Azam Complex, muda ni saa moja usiku
ADVERTISE HERE