Lamine aongeza miaka miwili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2020
Lamine aongeza miaka miwili Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umemuongezea mkataba wa miaka miwili beki kisiki Lamine Moro raia wa Ghana

Moro alikuwa amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na mabingwa hao wa kihistoria na sasa ataendelea kubaki Jangwani mpaka mwaka 2023

Nahodha huyo mpya wa Yanga amesaini mkataba huo leo mbele ya Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Mhandisi Hersi Said

Hatua hii imefuta tetesi zilizokuwa zikiripotiwa na magazeti ya udaku yaliyodai kuwa Moro alikuwa akiitumikia Yanga pasipo kuwa na mkataba jambo lisilowezekana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’