Jumamosi ya Oktoba 11 2020, kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitacheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Burundi ambao uko ndani ya kalenda ya FIFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani bei ya viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa kumi jioni uwanja wa Benjamin Mkapa
Oktoba 02, Etienne Ndayiragije kocha mkuu wa Stars anatarajiwa kutangaza kikosi chake kitakachoshiriki mchezo huo

ADVERTISE HERE