Mechi tatu za kibabe Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2020
Mechi tatu za kibabe Yanga

Kesho Jumamosi Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Mchezo dhidi ya Polisi Tanzania uliopaswa kupigwa Oktoba 11 umepigwa kalenda kutokana na kuwepo kwa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Burundi

Mechi itakayofuata ni dhidi ya Simba Oktoba 18 kisha kumalizana na KMC Oktoba 25

Matokeo ya mechi hizi yatatoa mwanga kuelekea mbio za ubingwa wa ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’