Yanga vs Mwadui FC, mchezo wa kujipima nguvu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2020
Yanga vs Mwadui FC, mchezo wa kujipima nguvu

SIku ya kesho Ijumaa, OKtoba 09 2020, kikosi cha Yanga kitashuka kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi kumenyana na Mwadui Fc ukiwa ni mchezo wa kirafiki

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga imebainisha kuwa mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja jioni

Viingilio Tsh 3,000 mzunguko na sh 5,000 VIP

Hii ni nafasi kwa kocha msaidizi Juma Mwambusi kutest mitambo kivingine akitumia mbinu tofauti na zile zilizokuwa zikitumiwa na Krmpotic

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’