Zimbabwe yajiondoa Chalenji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2017
Zimbabwe yajiondoa Chalenji
Zimbabwe na Libya ndiyo mataifa yaliyoalikwa kushiriki michuano ya CECAFA Challenge inayotarajiwa kuanza Disemba 03, 2017.

Hata hivyo Zimbabwe imejitoa kwenye michuano hiyo leo ikihofia usalama wa wachezaji wake.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na shirikisho la soka la Zimbabwe ni kwamba nchini hiyo haitashiriki michuano ya Chalenji ikihofia usalama wa wachezaji wake kufuatia vurugu zinazoendelea nchini Kenya baada ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta hapo jana.

Miongoni mwa wachezaji waliokuwa wameitwa kwenye kikosi cha Zimbabwe ni mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma ambaye ana mgogoro na uongozi wa timu hiyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
55m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’