Afisa Habari na Mhamasishaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz, leo ameadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Nugaz ameitumia siku hii Kigamboni kwa kushiriki hafla ya uzinduzi wa Tawi la klabu ya Yanga, Kibada, Kigamboni
Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndungulile ambaye nae ni Mwananchi...!


ADVERTISE HERE