Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Balama Mapinduzi
Mapinduzi amekuwa nje ya dimba kwa takribani miezi minne akiuguza jeraha la kifundo cha mguu alilopata mwishoni mwa msimu uliopita
Habari njema ni kuwa Mapinduzi ameanza mazoezi mepesi yatakayomsaidia kurejea dimbani taratibu
Msimu wake wa kwanza Yanga ulikuwa na mafanikio makubwa kwake kama mchezaji
Alikuwa mmoja wa wachezaji wa kikosi cha Yanga waliong'ara na kuipa heshima timu yake kila alipocheza
Leo ni siku muhimu kwake, tunamtakia kila la kheri
Happy Birthday 'Kipenseli'...!
ADVERTISE HERE