Uongozi wa klabu ya Yanga usiku wa kuamkia leo ulichukua jukumu la kuhifadhi wahanga wa mafuriko jijini Dar es salaam, katika jengo lake lililopo Jangwani
Mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar es salaam siku ya jana, imepelekea baadhi ya Wananchi kupoteza makazi yao
Uongozi wa Serikali mkoani Dar es salaam umeishukuru Yanga kwa kuchukua jukumu hilo la kuwapa hifadhi wananchi waliokumbwa na janga hilo
ADVERTISE HERE