Biashara United, Gwambina Fc ruksa kutumia viwanja vyao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Oct 2020
Biashara United, Gwambina Fc ruksa kutumia viwanja vyao

Baada ya mchezo dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Oktoba 22, 2020 kikosi cha Yanga kitaelekea kanda ya ziwa ambako watacheza mechi tatu

Oktoba 25 watacheza na KMC uwanja wa CCM Kirumba kisha wataelekea mkoani Mara kuifuata Biashara United mchezo utakaopigwa uwanja wa Karume Oktoba 30

Ni baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kuiruhusu Biashara United kutumia uwanja wake kuanzia leo baada ya kujiridhisha na hali yake

Biashara United ilikuwa ikitumia uwanja wa CCM Kirumba wakati uwanja wake ulipokuwa umefungiwa

Novemba 03 Yanga itaelekea Misungwi Mwanza kuifuata Gwambina Fc timu nyingine ambayo imeruhusiwa kutumia uwanja wake kuanzia leo

Gwambina Fc pia ilikuwa ikitumia uwanja wa CCM Kirumba

Awali ilitarajiwa Yanga ingecheza mechi tatu mfululizo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kabla ya kurejea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo dhidi ya Simba Novemba 07

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
58m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’