Mmachinga Kocha Msaidizi Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2020
Mmachinga Kocha Msaidizi Yanga Princess

Baada ya kufanya usajili kabambe, msimu ujao Yanga Princess imepania kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake

Maboresho yamefanyika kwenye benchi la ufundi ambapo mshambuliaji wa zamani wa Yanga, mkongwe mwenye historia yake Mohammed Hussein 'Mmchinga' ameteuliwa kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo

Mmachinga atakuwa akimsaidia Kocha Mkuu Edna Lema katika kuhakikisha msimu ujao Yanga Princess inachukua Ubingwa kwa mara ya Kwanza

Mmachinga ni "Legend" wa Yanga,  kwani ameitumikia Yanga kwa uaminifu Mkubwa

Miongoni mwa rekodi zake ni mfungaji bora wa muda wote Tanzania Bara mabao 152, Mfungaji wa muda wote wa msimu Tanzania Bara mabao 26 (1995/96), Mataji 12 na Yanga: 8 Ligi Kuu Tanzania Bara, 2 Klabu Bingwa Afrika Mashariki (Kagame), 2 Muungano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’