Kaze kuiongezea uzito dozi ya Polisi Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2020
Kaze kuiongezea uzito dozi ya Polisi Tanzania

Wakati wakisubiri kuwasili kwa kocha mkuu Cedric Kaze, wachezaji wa Yanga wanaendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania

Mchezo huo utapigwa Jumatano ijayo, Oktoba 22 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Pamoja na changamoto ya mvua, Juma Mwambusi, kocha msaidizi wa Yanga ameendelea kuwakomalia vijana wake kuhakikisha wanakuwa tayari kuwapa furaha mashabiki wao

Kaze anatarajiwa kuwasili leo Alhamisi majira ya saa nne usiku ambapo baada ya kutua atasaini mkataba wa kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Baadae atakuwa na kikao na viongozi wa Yanga kable ya kuanza rasmi majukumu yake siku ya kesho Ijumaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
54m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’