Yanga imemkosa kidogo tu Himid Mao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2017
Yanga imemkosa kidogo tu Himid Mao
Nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Himid Mao yuko mbioni kukamilisha uhamisho kuelekea klabu ya Bidvest Wits, mabingwa wa Afrika Kusini.

Kwa nyakati tofauti Mao amekuwa akihusishwa kusajiliwa na mabingwa wa soka Tanzania bara, Yanga.

Lakini habari za uhakika ni kwamba Mao atajiunga na Bidvest Wits iliyomuona wakati Stars ikishiriki michuano ya COSAFA nchini Afrika Kusini miezi michache iliyopita.

Tayari Bidvest imemalizana na Azam FC ambao ndio waajiri wa kiungo huyo maarufu kwa jina la Ninja
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’