Wananchi mnakumbushwa keshokutwa Alhamisi pale uwanja wa Uhuru kuna jambo lenu, mabingwa wa kihistoria Yanga wakishuka uwanjani kuikabili Polisi Tanzania
Viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa saa kumi Alasiri, Mzunguko Tsh 5,000/- , VIP B ni Tsh 10,000/- na VIP A 15,000/-
Hii sio ya kukosa, Wananchi tujitokeze kwa wingi kumuunga mkono kocha Cedric Kaze katika mchezo wake wa kwanza msimu huu
ADVERTISE HERE