Carlinhos kuwakosa Polisi Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2020
Carlinhos kuwakosa Polisi Tanzania

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Carlinhos hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakachoikabili Polisi Tanzania kwenye mchezo wa ligi kuu hapo kesho

Carlinhos alipata majeraha katika mazoezi ya Yanga yanayofanyika viunga vya Avic Town, Kigamboni

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kuwa Carlinhos ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao hawapo kwenye mpango wa mchezo huo kutokana na majeruhi. Wengine ni Mapinduzi Balama, Fahdi na Abdulaziz Makame

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema majeraha aliyopata Carlinhos ni ya kawaida na wanatarajia atarejea kikosini karibuni

Katika mechi nne alizocheza kwenye ligi msimu huu, Carlinhos amefunga bao moja na kutengeneza mabao mawili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’