Wachezaji wasio na uhakika wa kubaki Jangwani

habari247 By habari247
β€’
3 Jul 2017
Wachezaji wasio na uhakika wa kubaki Jangwani
Wakati Klabu ikisubiriwa kutoa taarifa rasmi juu ya wachezaji walioachwa, tayari Haruna Niyonzima ameshafahamika kutokuwemo kwenye kikosi cha Yanga msimu ujao.

Wengine ambao huenda wakakosekana kwenye kikosi kipya ni pamoja na Vicent Bossou na Justine Zulu kwa upande wa wachezaji wa Kimataifa.

Kwa wchezaji wa ndani, Ali Mustafa 'Barthez', Oscar Joshua, Matheo Anthony na Malimi Busungu wametajwa kutokuwa kwenye mipango ya kocha Lwandamina msimu ujao.

Joshua yuko mbioni kujiunga na Kagera Sugar wakati Barthez anahusishwa na Singida United inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga, Hans van Pluijm.

Malimi Busungu huenda akasajiliwa na Lipuli moja ya timu zilizopanda daraja msimu uliopita

Bado hatma ya Deo Munishi 'Dida' na Simon Msuva haijajulikana lakini upo uwezekano wa wachezaji hawa kuondoka kwa kuwa wamepata timu nje ya nchi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
39m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’