Kwa mara nyingine TFF wameingia katika mtego mwingine wa Bernard Morrison baada ya hapo jana kuonekana dhahiri akimpiga ngumi mchezaji wa Ruvu Shooting Juma Nyosso katika mchezo wa ligi kuu ambao ulimalizika kwa Ruvu kushinda bao 1-0
Ni tukio la hatari sana, kwa hakika ni aibu kwa mchezaji anayecheza soka la kulipwa kufanya uhuni kama ule
Wadau wanasubiri kuona ni hatua gani TFF itachukua dhidi ya Mghana huyo kwani tukio alilofanya limeonekana na kila mtu, shukrani kwa Azam TV!
Kanuni za ligi kuu ziko wazi, hii ndio adhabu anayostahili Morrison

Β
ADVERTISE HERE