Kikosi cha Yanga kimewasili Musoma, msafara wa timu hiyo ukiwa na wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wametembelea Makazi ya Baba wa Taifa hayati Julius Nyerere kijiji cha Butiama, mkoani Mara
Kesho Jumamosi, Yanga itacheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United hapo mjini Musoma
Mchezo utapigwa uwanja wa Karume kuanzia saa kumi Alasiri


ADVERTISE HERE