FT : Biashara United 0-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Oct 2020
FT : Biashara United 0-1 Yanga

Ni ushindi wa saba mfululizo kwa Yanga leo wakiondoka na alama zote tatu mkoani Mara baada ya kuichapa timu ngumu ya Biashara United bao 1-0

Bao la Michael Sarpong lililofungwa dakika ya 68, limetosha kuihakikishia Yanga ushindi muhimu ambao umewasogeza karibu kabisa na Azam Fc timu zote zikiwa na alama 22 huku Azam Fc ikiwa imecheza mchezo mmoja zaidi ya Yanga

Aidha huo ni ushindi wa tatu kwa kocha Cedric Kaze ambaye vijana wake wameendelea kutakata kadiri siku zinavyosonga

Lakini pia, Yanga imevunja mwiko wa kutopata matokeo katika uwanja wa Karume, ukiwa ni ushindi muhimu sana

Alama sita zimepatikana jijini Mwanza, mchezo unaofuata ni dhidi ya Gwambina Fc, Novemba 03 uwanja wa Gwambina, Misungwi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’