Wananchi waaswa kununua tiketi mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2020
Wananchi waaswa kununua tiketi mapema

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake kukata tiketi mapema ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza Jumamosi siku ya mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni

Antonio Nugaz, Afisa Msemaji na Mhamasishaji wa klabu ya Yanga, amesema Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo huo hivyo anatarajiwa kuwaona wananchi kwa wingi wao wakitinga uwanjani kuwapa sapoti wachezaji

Tiketi zimeanza kuuzwa jana, Mzunguko 7,000/-, Viti vya Orange 10,000/-, V.I.P C 15,000/-, V.I.P B 20,000/-, V.I.P A 30,000/-

Kutokana na mabadiliko ya utaratibu wa kuingia uwanja wa Mkapa, ule utamaduni wa mashabiki kununua tiketi siku ya mchezo, changamoto zimeshuhudiwa katika baadhi ya michezo ambapo mashabiki wengi walishindwa kuingia uwanjani

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’