Zoezi la uuzwaji wa tiketi kuelekea mchezo dhidi ya Simba hapo kesho linaweza kutamatishwa leo, Wananchi wameaswa kuchangamka kuhakikisha wananunua tiketi zao leo
Afisa Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz, amesema mchezo huu ni wa Yanga, wao kama wenyeji mashabiki wanahitaji kujitokeza kwa wingi wao kuwapa hamasa wachezaji ili kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu
Viingilio Mzunguko 7,000/-, Viti vya Orange 10,000/-, V.I.P C 15,000/-, V.I.P B 20,000/-, V.I.P A 30,000/-

ADVERTISE HERE