Huyu atakuwepo dabi ya pili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2020
Huyu atakuwepo dabi ya pili

Kiungo mshambuliaji aliyesajiliwa na Yanga hivi karibuni Said Ntibazonkiza atakuwepo kwenye mchezo wa pili wa watani wa jadi ambao utapigwa mwakani

Ntibazonkiza anatarajiwa kuanza kujifua na Yanga baada ya kukamilika kwa mechi za timu za Taifa kuwania tiketi kufuzu Afcon 2021 yeye akiwa nahodha wa timu ya taifa ya Burundi

Ataanza kuitumikia rasmi Yanga baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Disemba 15

Aidha kwenye dirisha dogo Yanga itaongeza mchezaji mwingine wa kigeni ili kukamilisha idadi ya wachezaji 10

Sijui itakuwaje kwenye hiyo mechi ya pili kwani kikosi cha Kaze kitakuwa kimekamilika sawasawa

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’