Senzo awatoa hofu Wananchi, yuko salama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2020
Senzo awatoa hofu Wananchi, yuko salama

Baada ya hapo jana kuhojiwa na jesh la Polisi kwa tuhuma za kuihujumu klabu ya Simba, Mshauri wa Yanga Senzo Mazingisa amewashukuru Wanayanga kwa kuwa nae bega kwa bega akiwahakikishia kuwa yuko salama na imara kuwatumikia

Aidha, Senzo ameeleza kusikitishwa na kitendo kilichofanywa na viongozi wa Simba akiamini kimesukumwa na uamuzi wake wa kuachana na kalbu hiyo na kujiunga na Yanga

"Sikuwahi kufikiri kama uamuzi niliochukua kuondoka kwao na kujiunga na Yanga ungewaumiza kiasi hiki. Ni wazi nimewasababishia maumivu kiasi wameamua kunichafua kwa lengo tu la kulipa kisasi. Nashukuru niko salama, nyumbani na niko tayari kuwatumikia Wananchi kwa moyo mmoja"

"Asanteni Wananchi wenzangu , tuko pamoja," alisema Senzo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’