Matunzo wanayopata wachezaji wa Yanga kwa sasa ni levo nyingine kabisa
Ni wakati ambao wachezaji hawana sababu ya kutofanya vizuri kwani wanakula vizuri, wanalipwa vizuri, wanaishi katika kambi yenye mazingira ya Kimataifa
Pongezi nyingi wanastahili GSM kwa haya wanayofanya, Yanga sasa ina kila sababu ya kupigania mataji


Morali ya wachezaji iko juu sana, wanapambana katika kila mchezo uwe wa ligi au kirafiki
Hakuna mchezo wowote ambao Yanga imepoteza msimu huu iwe ligi au kirafiki
Huu moto unaweza kwenda msimu mzima..!
ADVERTISE HERE