Uwanja wa Taifa ruksa kutumika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2017
Uwanja wa Taifa ruksa kutumika
Baada ya ukarabati mkubwa uwanja wa Taifa umezinduliwa rasmi na sasa uko tayari kuanza kutumika lakini kwa masharti.

Katika uzinduzi wa uwanja huo jana, Mkurugenzi wa Michezo nchini Yusuph Singo amesema vilabu vya Simba na Yanga vitaruhusiwa kuutumia uwanja huo katika michezo yao mikubwa.

Amesema michezo yote ya kawaida itaendelea kuchezwa kwenye dimba la Uhuru, Shamba la bibi.

Ukarabati wa uwanja huo umeigharimu kampuni ya SportPesa kiasi cha Tsh Bilioni nne.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’