Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika, Ahmad Ahmad amefungiwa na FIFA kujihusisha na Soka kwa miaka mitano
Kamati ya Maadili ya FIFA imemkuta Ahmad na makosa kadhaa yakiwemo kukosa uaminifu, kupokea na kutoa rushwa, Matumizi mabaya ya cheo na Matumizi mabaya fedha
Kulingana na taarifa ya FIFA, Ahmad alishitakiwa kwa makosa mengine ya utawala akitumia pesa za CAF kufadhili safari za kwenda Makka marais 15 wa mashirikisho ya soka Barani Afrika
ADVERTISE HERE