TAKUKURU yajitosa fedha za CAF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2020
TAKUKURU yajitosa fedha za CAF

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) inawasiliana na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kuchunguza ushiriki wa rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhirifu wa fedha za CAF

Ni baada ya FIFA kumfungia rais wa CAF Ahmad Ahmad kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka mitano kutokana na kashfa ya ubadhirifu.

Inadaiwa Bosi huyo wa TFF ni miongoni mwa wanufaika kwa kupata mgao wa dola 20,000

"Tumewasiliana na CAF, tumeanza uchunguzi, unajua hili suala ni jipya na ndio kwanza tumeanza uchunguzi, siwezi kuahidi itachukua muda gani

"Lazima kila hatua izingatiwe kwenye uchunguzi huu ili kama Karia amehusika na wote walionufaika na ubadhirifu huo waweze kubainika na kuchukuliwa hatua za kisheria," alismea Brig. Jen. John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa TaKUKURU

Jana TFF ilitoa ufafanuzi wa fedha dola 100,000 walizopokea kutoka CAF ambapo miongoni mwa fedha hizo, Dola 20,000 zilikuwa kwa ajili ya Rais wa TFF ambapo taarifa iibainisha kuwa Karia aliagiza fedha hizo zitumike katika shughuli za maendeleo ya soka nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’