Happy Birthday Metacha Mnata

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2020
Happy Birthday Metacha Mnata

Tarehe kama ya leo alizaliwa mlinda lango namba moja wa Yanga, Metacha Mnata ambaye ni kipenzi cha mashabiki

Metacha amekuwa na msimu bora, mpaka sasa amedhihirisha, akikaa langoni katika mechi 10 kati ya 11 ambazo Yanga imecheza

Wengi wanaamini kwa sasa Metacha ndiye mlinda lango bora zaidi nchini, mchango wake kwa timu umeonekana kila mara awapo uwanjani

Leo ni kumbukumbu ya terehe aliyozaliwa, tumtakie kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

Happy BirthDay Metacha..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’