Wakati Yanga ikitakata uwanja wa Azam Complex kwa kuichapa Azam Fc bao 1-0, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said yuko nchini Hispania kupokea rasimu ya Mabadiliko baada ya La Liga kumaliza jukumu lao
Injinia anatarajiwa kurejea na rasimu hiyo ambayo kama mapendekezo yake yatakubaliwa na Wanayanga, basi ndio itakuwa dira ya uwelekeo mpya wa Yanga
Hersi ameshangilia ushindi wa Yanga akiwa Makao Makuu ya La Liga!
ADVERTISE HERE