Hongera Yanga Princess, mwanzo mzuri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2020
Hongera Yanga Princess, mwanzo mzuri

Msimu huu msako wa ubingwa sio kwa timu ya Wanaume tu, Yanga Princess nao wana jambo lao jana wakifungua msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake kwa kuwafumua Tanzanite Queens mabao 4-0

Mabao ya Mwantumu Ramadhani, Aisha Mashaka aliyefunga mabao mawili na Amina Ally yalihakikishia Yanga Princess ushindi muhimu wa kwanza kabisa msimu huu

Misimu miwili iliyopita haikuwa mizuri kwa Yanga Princess lakini kwa uwekezaji uliofanywa kwenye kikosi cha msimu huu, hakuna shaka mambo mazuri yatapatikana mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
57m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’