Tuzo ya nyota wa mchezo vs JKT Tanzania apewe nani?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2020
Tuzo ya nyota wa mchezo vs JKT Tanzania apewe nani?

Yassin Mustafa, Deus Kaseke na Tuisila Kisinda wameteuliwa kuwania tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambao ulipigwa jana uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Alikuwa ni Deus Kaseke aliyeipa Yanga alama tatu muhimu kwa bao lake alilofunga kwenye dakika ya 33

Kaseke amehusika katika ushindi wa Yanga mechi mbili zilizopita akifunga mabao yote mawili

Kura zinahesabiwa kupitia ukurasa rasmi wa Yanga mtandao wa Twitter 'yangasc1935'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’