Yanga ilivyoandika Historia leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2020
Yanga ilivyoandika Historia leo

Yanga imeandika historia leo ambapo hafla ya ukabidhiwaji wa rasimu ya awali ya Mabadiliko ya uwendeshwaji imefanyika leo na kukabidhiwa na Mwenyekiti wa kamati ya mabadiliko WAKILI ALEX MGONGOLWA akiambatana na meneja mradi huo ambaye pia ni MKURUGENZI wa Uwekezaji kutoka kampuni GSM Eng Hersi Said ambao ni WADHAMINI wa gharama za mradi huo.

Rasimu hiyo imepokelewa na Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla akiambatana na wajumbe wa kamati ya utendaji, mjumbe wa baraza la wadhamini na wazee wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’