Msimu huu hakuna utani, kina dada wa Yanga Princess wameendelea kugawa dozi dhidi ya wapinzani wao ligi kuu ya Wanawake
Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzanite Queens katika mchezo wa kwanza, Yanga Princess leo imeshusha kipigo kingine cha mabao 5-0 dhidi ya Baobab Queens
Yanga Princess imejikusanyia alama sita huku ikiweka kambani mabao 9
Msimu huu Wananchi wana jambo lao...!
ADVERTISE HERE