Mamia wampokea Ntibazonkiza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2020
Mamia wampokea Ntibazonkiza

Wananchi wameendeleza utamaduni wao usiku wa leo Jumatano pale uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere walipojitokeza kwa wingi kumpokea mshambuliaji Saido Ntibazonkiza

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said aliongoza mapokezi hayo akiambatana na viongozi wa Yanga, Hassan Bumbuli Mkuu wa Idara ya Habari, Antonio Nugaz Afisa Msemaji na Mhamasishaji wa Mabingwa hao wa kihistoria

Karibu timu ya Wananchi Saido Ntibazonkiza...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
53m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’