Mwandishi mmoja wa habari huko Liberia Mr Wesley, alishangazwa alipokwenda kushuhudia mchezo wa ligi daraja la pili nchini humo na kumuona Shabiki mmoja amevalia jezi ya klabu ya Yanga
Tangu msimu uliopita, Yanga imeuza sana jezi nje ya Tanzania, msimu huu Wananchi wamevunja rekodi kwani jezi zao zimeuzika hadi kule Amerika na Barani Ulaya

ADVERTISE HERE