Wakati Yanga ikigawa dozi ya mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamini Mkapa jana, mshambuliaji mpya wa timu hiyo Saido Ntibazonkiza alikuwepo uwanjani kuwashuhudia waajiri wake
Ntibazonkiza ataanza kuitumikia Yanga wiki ijayo pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa
Nyota huyo wa Kimataifa kutoka Burundi, alitua wiki iliyopita na tayari ameanza kujifua na mabingwa hao wa kihistoria

ADVERTISE HERE