Hapa vipi Wananchi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Dec 2020
Hapa vipi Wananchi?

Jina la kiungo mshambuliaji wa Plateau United Issa Ndala limetawala katika baadhi ya magazeti ya michezo ikielezwa kuwa nyota huyo anaweza kuibukia kwa Wananchi

Ndala alin'gara kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Simba ambao ulipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi na kumalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Miongoni mwa nafasi ambazo Yanga inaweza kuongeza nguvu kwenye usajili wa dirisha dogo, ni pamoja na nafasi ya kiungo mchezeshaji

Ndala alionyesha umahiri mkubwa juzi, kama Kocha Cedric Kaze atampendekeza, nyota huyu anaweza kuungana na Wananchi wiki ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’