Yanga yakumbushia sakata la Morrison

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2020
Yanga yakumbushia sakata la Morrison

Wakati dirisha la usajili likitarajiwa kufunguliwa wiki ijayo, uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kukumbushia kuhusu madai waliyowasilisha awali juu ya mchezaji Bernard Morrison

Hivi karibuni uongozi wa Yanga ulieleza wasiwasi wake kutokana na ukimya wa TFF katika kushughulikia maadai yao yanayohoji uhalali wa mkataba wa Morrison aliosaini na Simba

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredric Mwakalebela alisema jambo hilo lilipaswa kusikilizwa kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa kwani dirisha hilo litakapofunguliwa litawapa Simba mwanya wa kusahihisha makosa yaliyopo kwenye mkataba

Yanga imeibua sakata hilo ikiwa ni siku chache tangu kiungo wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya aliyesajiliwa na timu hiyo usajili wake kuonekana na matatizo kabla ya juzi kufungiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) sambamba na Simba kutozwa faini ya dola 130,000 (Sh 300Mil).

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’