Mzigo huu tayari uko madukani, changamkia uzi mkali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2020
Mzigo huu tayari uko madukani, changamkia uzi mkali

Leo GSM wametambulisha tisheti kali za klabu ya Yanga wakivaa wachezaji wakiwa walisafirini kutoka jijini Dar es kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu

Tayari tisheti hizo ziko madukani ambao uongozi wa klabu ya Yanga umewataka Wananchi kuchamkia fursa ya kununua bidhaa hiyo nyingine ya Yanga

Uzi huo unapatikana maduka ya GSM Pugu Mall, GSM Msasani Mall,Anta sports Mlimani City wing number 3 na Yanga sports Shop Makao Makuu ya Yanga Jangwani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’