VPL yaingia raundi ya 15

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2020
VPL yaingia raundi ya 15

Ligi Kuu ya Vodacom inaelekea kukamilika duru ya kwanza leo ikiingia raundi ya 15 kwa mchezo mmoja kupigwa mkoani Morogoro kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya KMC

Vinara wa ligi hiyo Yanga wao watashuka uwanjani kesho Jumamosi kule mkoani Shinyanga wakiwa wageni wa Mwadui Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa CCM Kambarage

Watani zao Simba watakuwa mkoani Mbeya ambapo Jumapili Disemba 13 watachuana na Mbeya CIty

Wana rambaramba Azam Fc wao watasubiri mpaka Jumatatu, kuikabili Namungo Fc katika mchezo ambao utapigwa pale Chamazi

Hizi hapa mechi zote zitakazopigwa wkiendi hii;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’