Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mlinzi wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey 'Boxer'
Huu ni msimu wa pili katika kikosi cha kwanza tangu kocha Mwinyi Zahera alipompandisha kutoka Yanga B mwaka juzi
Msimu uliopta haukuwa mzuri kwake kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimuandama mara kwa mara
Kwa kiasi kikubwa ni majeraha hayo yaliyomfanya apungue makali
Lakini hakuna shaka chini ya kocha Cedric Kaze, Boxer atarejea katika ubora wake
Katika siku hii, Wanajangwani tunamtakia kila la kheri
Happy Birthday Paulo Godfrey 'Boxer'
ADVERTISE HERE