Mahadhi apelekwa kwa mkopo Ihefu Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2020
Mahadhi apelekwa kwa mkopo Ihefu Fc

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi amepekwa kwa mkopo kunako klabu ya Ihefu Fc

Mahadhi alirejea kikosini mwanzoni mwa msimu baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu akiuguza majeraha ya goti

Kutokana na ushindani wa namba kwenye kikosi cha Yanga, imekuwa changamoto kwake kupata nafasi

Meneja wa mchezaji huyo Godlisten Anderson, amethibitisha kuwa Mahadhi ataitumikia Ihefu Fc kwa miezi sita

Wachezaji wengine wanaotajwa kutolewa kwa mkopo ni pamoja na Abdulaziz Makame, Adam Kiondo na Fahad Fuad

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
51m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’