Waamuzi bado ni changamoto kubwa nchini, haishangazi kuona hawapati nafasi ya kuitwa kuchezesha hata hizi mechi za CAF ngazi ya vilabu tu
Wamekuwa wakifanya makosa yaleyale kwa timu zilezile, na pia hupewa adhabu zilezile, kufungiwa
Wakati huo tayari wanakuwa wamezidhurumu timu nyingine na kuzinufaisha nyingine
Pengine Watanzania tunapaswa kuanza kufikiria tunawezaje kuileta teknolojia ya VAR kwenye ligi yetu
Kwani madudu haya hayaonekani kama yataondoka leo wala kesho..
ADVERTISE HERE