Keshokutwa Jumamosi Wananchi wana jambo lao pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha wakati Yanga itakaposhuka katika uwanja huo kumenyana na Dodoma Jiji
Ni mwendelezo wa ligi kuu ya Vodacom raundi ya 16. Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
Mzunguko ni Tsh 5,000/-, V.I.P B ni Tsh 10,000/- na V.I.P A 20,000/-

ADVERTISE HERE