Mechi 28 bila ya kufungwa, hii ndio Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2020
Mechi 28 bila ya kufungwa, hii ndio Yanga

Ushindi wa mabao 3-1  ambao Yanga wameupata dhidi ya Dodoma Jiji leo, unawafanya wawe wamecheza michezo 28 mfululizo bila ya kufungwa kwenye ligi kuanzia msimu uliopita

Aidha huo ni mchezo wa 16 Yanga wanacheza msimu huu bila kufungwa

Baada ya kuanza msimu kwa kusuasua, Yanga sasa imeiva, kiwango bora wakifunga mabao kutoka kila upande

Kadiri siku zinavyosonga, Yanga inazidi kuwa 'tamu', Wananchi wanaweza kuweka rekodi ya kipekee msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’