Mchezo dhidi ya Ihefu Fc kupigwa Jumatano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2020
Mchezo dhidi ya Ihefu Fc kupigwa Jumatano

Mchezo wa ligi kuu kati ya Ihefu Fc dhidi ya Yanga ambao ulikuwa upigwe Jumamosi, Disemba 26, umerudishwa nyuma ambapo utapigwa Jumatano, Disemba 23 uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya

Mabadiliko hayo yametoa nafasi kupisha mechi za raundi ya tatu michuano ya kombe la FA, Yanga ikitarajiwa kucheza na Singida United kati ya Disemba 25 na 27

Kikosi cha Yanga tayari kimeondoka mkoani Arusha kuelekea Mbeya kwa ajili ya mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema wanakwenda Mbeya wakiwa kamili, hawana majeruhi katika kikosi chao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’