Mapambano yanaendelea - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2020
Mapambano yanaendelea - Kaze

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amewashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuiunga mkono timu yao katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Dodoma Jiji

Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1, ukiwa ni ushindi katika mchezo wa tano mfululizo

Kaze amesema sapoti ya mashabiki ndiyo inayowafanya wachezaji na benchi la ufundi wazidi kupambana kuhakikisha wanapata matokeo katika kila mchezo

Amesema baada ya ushindi wa mchezo wa jana, wanajiandaa kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa Jumatano Disemba 23

"Wananchi popote mlipo tunashukuru sana kwa Kutuombea, kwa supoti kubwa tunapata kila siku kutoka kwenu"

"Wananchi wa Arusha asanteni sana kwa upendo mliotuonyesha jana. Mchezo unaofuata ni dhidi ya Ihefu Dec 23rd tunaenda kujiandaa, tupambane"

"Furaha yenu ndio Heshima yetu," ulisomeka ujumbe wa Kaze alioandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’