Yanga Princess imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' baada ya kuichapa Kigoma Sisterz bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika
Ni ushindi unaowafanya Kinadada wananchi wafikishe alama 16 wakiendelea kusimama nafasi ya kwanza huku wakiwa na takwimu bora msimu huu
Wamefunga mabao 17 lakini pia hawajaruhusu bao lolote kufungwa katika lango lao
Msako wa ubingwa unaendelea...!
ADVERTISE HERE