Ukarabati uliofanywa jengo la klabu ya Yanga pale Makao Makuu mtaa wa Twiga na Kangwani, umebadili muonekano wa jengo hilo
Pongezi za kipekee wanastahili Wananchi waliochukua jukumu la kubadili taswira ya jengo hilo lenye historia ya kipee hapa Tanzania


ADVERTISE HERE